Wednesday, August 22, 2012

SIMULIZI YA KWELI YA SHAMSA-SEHEMU YA PILI




 

FACEBOOK IMENIDHARIRISHA -Shamsa (02)

Baada ya kuchat muda Mrefu sana, nilijikuta mimi mwenyewe nikitoa namba yangu kwa Naseeb ili tuweze kuwasiliana even kwenye Simu. Nilipomaliza shughuli hiyo, nilianza safari ya kurudi Nyumbani. Nilipokuwa njiani, Hammy alinipigia simu lakini sikupokea (BOFYA "LOVE STORY")

Je Kumpiga Mwenzi wako Ni suluhu ya matatizo yenu?



Na Frank Joachim

Katika Asilimia 100 ya Jinsia ambayo huwa wanapigwa sana katika Ndoa, Uchumba, Mapenzi ya Kawaida (Girlfriends and Boyfriends), Wanawake huwa wanachukua zaidi ya Asilimia 90. Kiafrika, hii huwa inatokana na Asilia tuliyokua nayo, yaani mfumo Dume.
Ni sawa, hata Ughaibuni mambo haya hutokea, japo ni kwa asilimia ndogo, kutokana na Sheria nza Nchi Hizo, Mfano Marekani, ukimpiga Mwanamke, basi unafunguliwa mashitaka ya “Domestic Violence” na Kuwajibishwa vilivyo. Hii inakuwa inawafanya watu wengi kuepukana na mtukio hayo ya uonevu wa Kijinsia.

Kwa Nini Tunapiga (Wanaume)



Kulinda Hadhi na Heshima.
Hakuna Jinsia ambayo huwa inathamini hadhi yake binafsi kama Jinsia Ya Kiume. Hii inatokana na mfumo dume uliorithishwa na Wazazi wetu wa Awali, yaani Mababu zetu, ambapo huwa mwanaume anahisi kuwa yeye ni bora na anastahili kuboreshewa ubora wake ili kutambulika katika Jamii inayomzunguka.
Endapo Mwanamke ataonesha dharau, Kiburi, kutokutekeleza baadhi ya Majukumu aliyokabidhiwa na Mwanamume (Mpenzi, mchumba, au Mume), basi ataadhibiwa kwa Kipigo chochote kile ili kuilinda Hadhi yake na Heshima yake isije ikashuka.

Hasira za Karibu

Hii ni sawa kabisa, hasa kwa Wanaume. Kuna baadhi ya Wanaume ambao kiujumla huwa ni Wepesi wa kuchukia haraka, na kuchukua hatua kadhaa mkononi. Kuna baadhi ya Wanaume ambao huwa hawafanyi hivyo. Mwanaume wa aina hii (Kuchukia Mapema) mara nyingi huwaadhibu sana Wapenzi wao. Nimewahi kuishi na rafiki yangu wa aina hii. Ilikuwa ikipita wiki Nzima mpenzi wake hajalia, basi jamaa atakuwa hayupo, au anaumwa. Jambo hili lilikuwa likimnyima raha sana Mpenzi wake, kitu ambacho kingepa athari kubwa ya Kisaikolojia Msichana Yule, endapo wasingetengana

Ulimbukeni/ Kuiga/ Sifa za Kijinga.

Kuna mwanaume mwingine anaweza akawa anahisi ni sifa mbele ya wenzake kusema kuwa amempiga mpenzi wake. Hii ni kutaka kujionesha kuwa ana mamlaka makubwa sana na ni sifa madhubuti kumpiga Mwenzi wake. Mwingine anaweza akawa anamuona Frank anapiga sana Mpenzi wake, na bado wanaendelea kuwa pamoja, basi na yeye anaamua kumpiga Ngum,I, makofi n.k ilimradi tu awe kama Frank, jambo ambalo sio unjanja wala nini !!

 Kwa nini anapenda Kupigwa? (Wanawake)

Kudhirisha kama anapendwa.

Zamani nilikuwa Siamini kama mwanamke anapenda kupigwa. Nilikuwa ninadhani kuwa wanawasikinzia. Katika Mapenzi ya sasa Hivi, yaani Rika letu sisi vijana, Nilibaini kuwa, kuna wanawake au mabinti wanapenda na huwa wanalazimisha kupigwa kwa kufanya makosa maksudi. Hii ni kutaka kubaini kama mpenzi wake anampenda au Laa.

Kuiga/ Ulimbukeni

Amini Usiamini, kuna wanawake ambao wakisika wenzao wakisimulia kuwa wamepigwa basi wanafurahi na kutramani na wao kupigwa. Basi watafanya kila wafanyalo au wawezalo ili kuhakikisha kuwa wanapigwa na wapenzi wao ili kujua radha yake ikoje.

ATHARI;

Athari huwa ni kubwa sana katika Hilo.
Kujeruhi
Kuua,
Kuathiri/ Kuathirika Kisaikolojia., n.k

Friday, August 17, 2012

Robert Pattinson Speaks on Sex, Cosmopolis Climaxes...





Robert Pattinson sat down with Josh Horowitz of MTV last night, going into detail about the most pressing issue in his life these days.........(CLICK ON NEWS TO READ MORE)

FACE BOOK IMENIDHALILISHA-Shamsa



“Sikuwa mfahamu sana katika suala zima la Facebook, licha ya kwamba nilikuwa nikiwaona Rafiki zangu wengi sana wakiitumia, huku baadhi yao Wakiisifia. Obviously, nilipata hamu kubwa sana ya kutaka kufahamu kilichokuwa kikiendelea ndani ya Mtandao huo. If am not mistaken, it was 2010 ndo nilianza kusikia habari hizo za Facebook. By that time nilikuwa nachukua Diploma in AIR TICKETING katika chuo kimoja hivi hapa Jijini Dar es Salaam........................(CLICK ON LOVE STORY TO READ MORE)

Wednesday, August 15, 2012

SORRY TO KRISTEN STEWART....

Kristen Stewart.
Universal pictures has decided to shelf the planned “Snow White and the Huntsman” sequel with Kristen Stewart just weeks after she apologized for an affair with the film’s director. Instead, the follow-up film will focus on a solo Huntsman film starring Chris Hemsworth and Stewart will not be invited to return, according to The Hollywood Reporter...........(CLICK ON NEWS)