Na Frank Joachim
Katika Asilimia 100 ya Jinsia ambayo huwa wanapigwa sana
katika Ndoa, Uchumba, Mapenzi ya Kawaida (Girlfriends and Boyfriends), Wanawake
huwa wanachukua zaidi ya Asilimia 90. Kiafrika, hii huwa inatokana na Asilia
tuliyokua nayo, yaani mfumo Dume.
Ni sawa, hata Ughaibuni mambo haya hutokea, japo ni kwa
asilimia ndogo, kutokana na Sheria nza Nchi Hizo, Mfano Marekani, ukimpiga
Mwanamke, basi unafunguliwa mashitaka ya “Domestic Violence” na Kuwajibishwa
vilivyo. Hii inakuwa inawafanya watu wengi kuepukana na mtukio hayo ya uonevu
wa Kijinsia.
Kwa Nini Tunapiga (Wanaume)
Kulinda Hadhi na Heshima.
Hakuna Jinsia ambayo huwa inathamini hadhi yake binafsi kama
Jinsia Ya Kiume. Hii inatokana na mfumo dume uliorithishwa na Wazazi wetu wa
Awali, yaani Mababu zetu, ambapo huwa mwanaume anahisi kuwa yeye ni bora na anastahili
kuboreshewa ubora wake ili kutambulika katika Jamii inayomzunguka.
Endapo Mwanamke ataonesha dharau, Kiburi, kutokutekeleza
baadhi ya Majukumu aliyokabidhiwa na Mwanamume (Mpenzi, mchumba, au Mume), basi
ataadhibiwa kwa Kipigo chochote kile ili kuilinda Hadhi yake na Heshima yake
isije ikashuka.
Hasira za Karibu
Hii ni sawa kabisa, hasa kwa Wanaume. Kuna baadhi ya Wanaume
ambao kiujumla huwa ni Wepesi wa kuchukia haraka, na kuchukua hatua kadhaa
mkononi. Kuna baadhi ya Wanaume ambao huwa hawafanyi hivyo. Mwanaume wa aina
hii (Kuchukia Mapema) mara nyingi huwaadhibu sana Wapenzi wao. Nimewahi kuishi
na rafiki yangu wa aina hii. Ilikuwa ikipita wiki Nzima mpenzi wake hajalia,
basi jamaa atakuwa hayupo, au anaumwa. Jambo hili lilikuwa likimnyima raha sana
Mpenzi wake, kitu ambacho kingepa athari kubwa ya Kisaikolojia Msichana Yule,
endapo wasingetengana
Ulimbukeni/ Kuiga/ Sifa za Kijinga.
Kuna mwanaume mwingine anaweza akawa anahisi ni sifa mbele
ya wenzake kusema kuwa amempiga mpenzi wake. Hii ni kutaka kujionesha kuwa ana
mamlaka makubwa sana na ni sifa madhubuti kumpiga Mwenzi wake. Mwingine anaweza
akawa anamuona Frank anapiga sana Mpenzi wake, na bado wanaendelea kuwa pamoja,
basi na yeye anaamua kumpiga Ngum,I, makofi n.k ilimradi tu awe kama Frank,
jambo ambalo sio unjanja wala nini !!
Kwa nini anapenda
Kupigwa? (Wanawake)
Kudhirisha kama anapendwa.
Zamani nilikuwa Siamini kama mwanamke anapenda kupigwa.
Nilikuwa ninadhani kuwa wanawasikinzia. Katika Mapenzi ya sasa Hivi, yaani Rika
letu sisi vijana, Nilibaini kuwa, kuna wanawake au mabinti wanapenda na huwa
wanalazimisha kupigwa kwa kufanya makosa maksudi. Hii ni kutaka kubaini kama
mpenzi wake anampenda au Laa.
Kuiga/ Ulimbukeni
Amini Usiamini, kuna wanawake ambao wakisika wenzao wakisimulia
kuwa wamepigwa basi wanafurahi na kutramani na wao kupigwa. Basi watafanya kila
wafanyalo au wawezalo ili kuhakikisha kuwa wanapigwa na wapenzi wao ili kujua
radha yake ikoje.
ATHARI;
Athari huwa ni kubwa sana katika Hilo.
Kujeruhi
Kuua,
Kuathiri/ Kuathirika Kisaikolojia., n.k



No comments:
Post a Comment